Hema za wanyang'anyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.
Yobu 21:9 - Swahili Revised Union Version Nyumba zao ni salama bila hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Biblia Habari Njema - BHND Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwao kila kitu ni salama bila hofu; wala kiboko cha Mungu hakiwafikii. Neno: Bibilia Takatifu Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao. Neno: Maandiko Matakatifu Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao. BIBLIA KISWAHILI Nyumba zao ni salama bila hofu, Wala fimbo ya Mungu haiwapigi. |
Hema za wanyang'anyi hufanikiwa, Na hao wamkasirishao Mungu hukaa salama; Mikononi mwao Mungu huleta vitu vingi.
Sauti za utisho zi masikioni mwake; Katika kufanikiwa kwake mtekaji nyara atamjia juu yake;