Yobu 13:3 - Swahili Revised Union Version Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. BIBLIA KISWAHILI Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu. |
Laiti ningekuwa na mtu wa kunisikia! (Tazama, sahihi yangu ni hii, Mwenyezi na anijibu); Laiti ningekuwa na hayo mashitaka yaliyoandikwa na adui yangu!
Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli.