Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Yobu 12:8 - Swahili Revised Union Version Au nena na nchi, nayo itakufundisha; Nao samaki wa baharini watakutangazia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Biblia Habari Njema - BHND Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Au iulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu. Neno: Bibilia Takatifu au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. Neno: Maandiko Matakatifu au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. BIBLIA KISWAHILI Au nena na nchi, nayo itakufundisha; Nao samaki wa baharini watakutangazia. |
Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Lakini sasa waulize hao wanyama, nao watakufundisha; Na ndege wa angani, nao watakuambia;