Yeremia 13:8 - Swahili Revised Union Version Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likanijia: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana likanijia: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, |
Ndipo nikaenda mpaka mto Frati, nikachimba, nikakitwaa kile kitambaa katika mahali pale nilipokificha; na tazama, kitambaa kilikuwa kimeharibika, hakikufaa tena kwa lolote.
BWANA asema hivi, Jinsi iyo hiyo nitakiharibu kiburi cha Yuda, na kiburi kikuu cha Yerusalemu.
Ndipo nikaangalia, na tazama, katika anga lililokuwa juu ya vichwa vya makerubi, kulionekana juu yao kana kwamba ni yakuti samawi, kuonekana kama mfano wa kiti cha enzi.