Yeremia 13:3 - Swahili Revised Union Version Nalo neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili: Biblia Habari Njema - BHND Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likanijia kwa mara ya pili: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo neno la bwana likanijia kwa mara ya pili: BIBLIA KISWAHILI Nalo neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema, |
Twaa kitambaa kile ulichonunua, kilicho viunoni mwako, kisha ondoka, nenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali.
yaani, Yerusalemu, na miji ya Yuda, na wafalme wake, na wakuu wake, ili kuwafanya kuwa ukiwa, na ajabu, na mazomeo, na laana; vile vile kama ilivyo leo;