Na hesabu yako itakuwa kwa mwanamume, tokea aliye na umri wa miaka ishirini hata umri wa miaka sitini, hesabu yako itakuwa shekeli hamsini za fedha, kwa shekeli ya mahali patakatifu.
Walawi 27:4 - Swahili Revised Union Version Kama ni mwanamke, hesabu yako itakuwa shekeli thelathini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama ni mwanamke, atakombolewa kwa fedha shekeli 30. Biblia Habari Njema - BHND Kama ni mwanamke, atakombolewa kwa fedha shekeli 30. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama ni mwanamke, atakombolewa kwa fedha shekeli 30. Neno: Bibilia Takatifu ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini. Neno: Maandiko Matakatifu ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini. BIBLIA KISWAHILI Kama ni mwanamke, hesabu yako itakuwa shekeli thelathini. |
Na hesabu yako itakuwa kwa mwanamume, tokea aliye na umri wa miaka ishirini hata umri wa miaka sitini, hesabu yako itakuwa shekeli hamsini za fedha, kwa shekeli ya mahali patakatifu.
Tena akiwa na umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.