Walawi 24:13 - Swahili Revised Union Version Na BWANA akasema na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Musa: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo bwana akamwambia Musa: BIBLIA KISWAHILI Na BWANA akasema na Musa, na kumwambia, |
Mtoe huyo aliyelaani nje ya kambi; na wale wote waliomsikia na waweke mikono yao kichwani mwake, kisha mkutano wote na wamwue kwa kumpiga kwa mawe.