naye kuhani ataangalia, ikiwa pana uvimbe mweupe katika ngozi yake, na mnywele zimegeuzwa kuwa nyeupe, tena ikiwa panafanyika kidonda katika ule uvimbe,
Walawi 13:14 - Swahili Revised Union Version Lakini popote kitakapoonekana kidonda kibichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Neno: Bibilia Takatifu Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. BIBLIA KISWAHILI Lakini popote kitakapoonekana kidonda kibichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi. |
naye kuhani ataangalia, ikiwa pana uvimbe mweupe katika ngozi yake, na mnywele zimegeuzwa kuwa nyeupe, tena ikiwa panafanyika kidonda katika ule uvimbe,
ndipo huyo kuhani ataangalia; ikiwa ukoma umemwenea mwili wake wote, atasema kuwa ni safi huyo aliye na hilo pigo, ikiwa ngozi yake yote imegeuka kuwa nyeupe, naye akawa safi.
Kuhani atakiangalia hicho kidonda kibichi, naye atasema kuwa ni najisi; kile kidonda kibichi ni najisi; ni ukoma.