Kisha katika ndege hawa watakuwa ni machukizo kwenu; hawataliwa, ndio machukizo; tai, na furukombe, na kipungu;
Walawi 11:14 - Swahili Revised Union Version na mwewe, na kozi kwa aina zake, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mwewe, aina zote za kozi, Biblia Habari Njema - BHND mwewe, aina zote za kozi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mwewe, aina zote za kozi, Neno: Bibilia Takatifu mwewe mwekundu, aina zote za mwewe mweusi, Neno: Maandiko Matakatifu mwewe mwekundu, aina zote za mwewe mweusi, BIBLIA KISWAHILI na mwewe, na kozi kwa aina zake, |
Kisha katika ndege hawa watakuwa ni machukizo kwenu; hawataliwa, ndio machukizo; tai, na furukombe, na kipungu;