Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Wafilipi 4:23 - Swahili Revised Union Version Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawatakieni nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Biblia Habari Njema - BHND Nawatakieni nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawatakieni nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Neno: Bibilia Takatifu Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen. Neno: Maandiko Matakatifu Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen. BIBLIA KISWAHILI Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu. |
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [