Wafilipi 4:2 - Swahili Revised Union Version Namsihi Euodia, namsihi na Sintike, wawe na nia moja katika Bwana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana. Biblia Habari Njema - BHND Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana. Neno: Bibilia Takatifu Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana Isa. BIBLIA KISWAHILI Namsihi Euodia, namsihi na Sintike, wawe na nia moja katika Bwana. |
Chumvi ni njema; lakini chumvi ikiwa si chumvi tena, mtaitia nini ikolee? Muwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.
Basi ndugu, nawasihi, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba nyote mnene mamoja; wala pasiwe kwenu migawanyiko, bali mhitimu katika nia moja na shauri moja.
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;