Basi naomba msikate tamaa kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, zilizo utukufu wenu.
Wafilipi 2:18 - Swahili Revised Union Version Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu. Biblia Habari Njema - BHND Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu. Neno: Bibilia Takatifu Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. Neno: Maandiko Matakatifu Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. BIBLIA KISWAHILI Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami. |
Basi naomba msikate tamaa kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, zilizo utukufu wenu.
Naam, hata nikimiminwa juu ya dhabihu na ibada ya imani yenu, nafurahi; tena nafurahi pamoja nanyi nyote.
Lakini natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwenu karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu.
Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi.