Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;
Wafilipi 1:3 - Swahili Revised Union Version Namshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Namshukuru Mungu wangu kila ninapowakumbukeni; Biblia Habari Njema - BHND Namshukuru Mungu wangu kila ninapowakumbukeni; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Namshukuru Mungu wangu kila ninapowakumbukeni; Neno: Bibilia Takatifu Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. Neno: Maandiko Matakatifu Ninamshukuru Mwenyezi Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. BIBLIA KISWAHILI Namshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo, |
Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;
Namshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu mliyopewa katika Kristo Yesu;
Maana ni shukrani gani tuwezayo kumlipa Mungu kwa ajili yenu, kwa furaha ile yote tunayoifurahia, kwa sababu yenu mbele za Mungu wetu;
Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.
Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.