Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitamtuma kwenu.
Wafilipi 1:24 - Swahili Revised Union Version bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi. Biblia Habari Njema - BHND lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili. BIBLIA KISWAHILI bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu. |
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitamtuma kwenu.
Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui.
Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana;