Waefeso 6:7 - Swahili Revised Union Version kwa nia njema kama kumtumikia Bwana wala si mwanadamu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Biblia Habari Njema - BHND Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Neno: Bibilia Takatifu Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mngemtumikia, wala si wanadamu, Neno: Maandiko Matakatifu Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana Isa na si wanadamu. BIBLIA KISWAHILI kwa nia njema kama kumtumikia Bwana wala si mwanadamu; |
Watumishi wake wakamkaribia, wakamwambia, wakasema, Baba yangu, kama yule nabii angalikuambia kutenda jambo kubwa, usingalilitenda? Je! Si zaidi basi, akikuambia, Jioshe, uwe safi?
Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;