Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.
Waebrania 11:30 - Swahili Revised Union Version Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba. Biblia Habari Njema - BHND Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba. Neno: Bibilia Takatifu Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. BIBLIA KISWAHILI Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba. |
Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.