Ufunuo 9:12 - Swahili Revised Union Version Ole wao, pigo la kwanza limekwisha pita. Tazama, bado yako mapigo mawili, yanakuja baadaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanafuata. Biblia Habari Njema - BHND Maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanafuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanafuata. Neno: Bibilia Takatifu Ole ya kwanza imepita, bado nyingine mbili zinakuja. Neno: Maandiko Matakatifu Ole ya kwanza imepita, bado nyingine mbili zinakuja. BIBLIA KISWAHILI Ole wao, pigo la kwanza limekwisha pita. Tazama, bado yako mapigo mawili, yanakuja baadaye. |
Kisha nikaona, nikasikia tai mmoja akiruka katikati ya mbingu, akisema kwa sauti kuu, Ole, ole, ole wao wakaao juu ya nchi! Kwa sababu ya sauti za baragumu ziliobakia za malaika watatu, walio tayari kupiga.