kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Ufunuo 22:21 - Swahili Revised Union Version Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina. Biblia Habari Njema - BHND Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina. Neno: Bibilia Takatifu Neema ya Bwana Isa iwe na watakatifu wote. Amen. Neno: Maandiko Matakatifu Neema ya Bwana Isa iwe na watakatifu wote. Amen. BIBLIA KISWAHILI Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina. |
kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [
aliyelishuhudia neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo, yaani, mambo yote aliyoyaona.
Yohana, kwa yale makanisa saba yaliyoko Asia; Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwake yeye aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja; na zitokazo kwa roho saba walioko mbele ya kiti chake cha enzi;