Nehemia 2:11 - Swahili Revised Union Version Basi nikafika Yerusalemu, nikakaa huko muda wa siku tatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu. Neno: Bibilia Takatifu Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu, Neno: Maandiko Matakatifu Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu, BIBLIA KISWAHILI Basi nikafika Yerusalemu, nikakaa huko muda wa siku tatu. |
Kisha nikaondoka usiku, mimi pamoja na watu wachache; wala sikumwambia mtu neno hili alilolitia Mungu wangu moyoni mwangu, nilitende kwa ajili ya Yerusalemu; wala hapakuwa na mnyama pamoja nami, ila mnyama yule niliyempanda mwenyewe.