Nehemia 12:9 - Swahili Revised Union Version Tena Bakbukia na Uno, washiriki wenzao walisimama mkabala wao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao Bakbukia na Uno rafiki zao, walisimama ibadani mkabala nao. Biblia Habari Njema - BHND Nao Bakbukia na Uno rafiki zao, walisimama ibadani mkabala nao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao Bakbukia na Uno rafiki zao, walisimama ibadani mkabala nao. Neno: Bibilia Takatifu Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada. Neno: Maandiko Matakatifu Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada. BIBLIA KISWAHILI Tena Bakbukia na Uno, washiriki wenzao walisimama mkabala wao. |
Nao wakuu wa Walawi; Hashabia, Sherebia, Yeshua, Binui, Kadmieli, na ndugu zao kuwaelekea, ili kusifu na kushukuru, kama amri ya Daudi, mtu wa Mungu, zamu kwa zamu.
Tena Walawi; Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa juu ya shukrani, yeye na ndugu zake.