Ndipo nikawapandisha viongozi wa Yuda juu ya ukuta, nikawatenga makundi mawili makubwa ya hao walioandamana na kushukuru, liende upande wa kulia ukutani kuliendea lango la jaa;
Nehemia 12:32 - Swahili Revised Union Version na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda. Biblia Habari Njema - BHND Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda. Neno: Bibilia Takatifu Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata, Neno: Maandiko Matakatifu Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata, BIBLIA KISWAHILI na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda, |
Ndipo nikawapandisha viongozi wa Yuda juu ya ukuta, nikawatenga makundi mawili makubwa ya hao walioandamana na kushukuru, liende upande wa kulia ukutani kuliendea lango la jaa;