Nehemia 10:20 - Swahili Revised Union Version Magpiashi, Meshulamu, Heziri; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Magpiashi, Meshulamu, Heziri, Biblia Habari Njema - BHND Magpiashi, Meshulamu, Heziri, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Magpiashi, Meshulamu, Heziri, Neno: Bibilia Takatifu Magpiashi, Meshulamu, Heziri, Neno: Maandiko Matakatifu Magpiashi, Meshulamu, Heziri, BIBLIA KISWAHILI Magpiashi, Meshulamu, Heziri; |
Yonathani, mwana wa Asaheli, na Yazeya, mwana wa Tikwa, hawa peke yao ndio waliosimama kulipinga neno hilo; na Meshulamu, na Shabethai Mlawi, wakawasaidia.
Naye Ezra, kuhani, akasimama juu ya mimbari ya mti, waliyokuwa wameitengeneza kwa kusudi hilo; na karibu naye wakasimama Matithia, na Shema, na Anaya, na Uria, na Hilkia, na Maaseya, mkono wake wa kulia; na mkono wake wa kushoto, Pedaya, na Misbaeli, na Malkiya, na Hashumu, na Hashbadani, na Zekaria, na Meshulamu.