Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.
Nehemia 10:13 - Swahili Revised Union Version Hodia, Bani, Beninu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hodia, Bani na Beninu. Biblia Habari Njema - BHND Hodia, Bani na Beninu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hodia, Bani na Beninu. Neno: Bibilia Takatifu Hodia, Bani na Beninu. Neno: Maandiko Matakatifu Hodia, Bani na Beninu. BIBLIA KISWAHILI Hodia, Bani, Beninu; |
Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.
Uthai, mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imli, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda.
Naye msimamizi wa Walawi huko Yerusalemu, ni Uzi, mwana wa Bani, mwana wa Hashabia, mwana wa Matania, mwana wa Mika, wa wana wa Asafu, hao waimbaji, alikuwa juu ya kazi ya nyumba ya Mungu.