Lameki akaishi baada ya kumzaa Nuhu miaka mia tano na tisini na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:31 - Swahili Revised Union Version Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Biblia Habari Njema - BHND Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lameki alifariki akiwa na umri wa miaka 777. Neno: Bibilia Takatifu Lameki aliishi jumla ya miaka mia saba sabini na saba (777), ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa. |
Lameki akaishi baada ya kumzaa Nuhu miaka mia tano na tisini na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.