Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:17 - Swahili Revised Union Version Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Biblia Habari Njema - BHND Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Neno: Bibilia Takatifu Mahalaleli aliishi jumla ya miaka mia nane tisini na tano (895), ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. |
Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.