Wakaja kwa Yakobo, baba yao, katika nchi ya Kanaani, wakampasha habari za yote yaliyowapata, wakisema,
Mwanzo 45:25 - Swahili Revised Union Version Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Neno: Bibilia Takatifu Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. BIBLIA KISWAHILI Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. |
Wakaja kwa Yakobo, baba yao, katika nchi ya Kanaani, wakampasha habari za yote yaliyowapata, wakisema,
Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.