Mwanzo 34:18 - Swahili Revised Union Version Maneno yao yakawa mema machoni pa Hamori, na machoni pa Shekemu, mwana wa Hamori. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Biblia Habari Njema - BHND Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. Neno: Bibilia Takatifu Pendekezo lao likakubalika kwa Hamori na Shekemu mwanawe. Neno: Maandiko Matakatifu Pendekezo lao likawa jema kwa Hamori na Shekemu mwanawe. BIBLIA KISWAHILI Maneno yao yakawa mema machoni pa Hamori, na machoni pa Shekemu, mwana wa Hamori. |
Na yule kijana hakukawia kulifanya neno lile, maana amependezewa na binti Yakobo, naye alikuwa mwenye heshima kuliko wote nyumbani mwa babaye.
Habari ikasikika nyumbani mwa Farao kusema, Ndugu zake Yusufu wamekuja. Ikawa vema machoni pa Farao, na machoni pa watumishi wake.