mbuzi majike mia mbili, mbuzi dume ishirini, kondoo majike mia mbili, na kondoo dume ishirini;
Mwanzo 32:15 - Swahili Revised Union Version ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe majike arubaini na mafahali kumi; punda wake ishirini na wana wao kumi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Biblia Habari Njema - BHND ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Neno: Bibilia Takatifu ngamia jike thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe arobaini na mafahali kumi, punda jike ishirini, na punda wa kiume kumi. Neno: Maandiko Matakatifu Ngamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi. BIBLIA KISWAHILI ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe majike arobaini na mafahali kumi; punda majike ishirini na wana wao kumi. |
mbuzi majike mia mbili, mbuzi dume ishirini, kondoo majike mia mbili, na kondoo dume ishirini;
Akawatia mkononi mwa watumwa wake, kila kundi peke yake. Naye akawaambia watumwa wake, Vukeni mbele yangu, mkaache nafasi kati ya kundi na kundi.