Na haki yangu itanishuhudia katika siku zijazo, utakapokuja kwa habari ya mshahara wangu ulioko kwako. Kila asiye madoadoa au marakaraka katika mbuzi, au asiye mweusi katika kondoo, akionekana kwangu, itahesabiwa kuwa ameibiwa.
Mwanzo 30:34 - Swahili Revised Union Version Labani akasema, Tazama, na iwe hivi kama usemavyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Biblia Habari Njema - BHND Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Neno: Bibilia Takatifu Labani akasema, “Ninakubali; na iwe kama ulivyosema.” Neno: Maandiko Matakatifu Labani akasema, “Ninakubali na iwe kama ulivyosema.” BIBLIA KISWAHILI Labani akasema, Tazama, na iwe hivi kama usemavyo. |
Na haki yangu itanishuhudia katika siku zijazo, utakapokuja kwa habari ya mshahara wangu ulioko kwako. Kila asiye madoadoa au marakaraka katika mbuzi, au asiye mweusi katika kondoo, akionekana kwangu, itahesabiwa kuwa ameibiwa.
Basi akatoa siku ile mbuzi dume walio na milia na madoadoa, na mbuzi wake walio na madoadoa na marakaraka, kila aliye na doa jeupe, na kondoo wote waliokuwa weusi, akawatia mikononi mwa wanawe.
Balaamu akamwambia punda; Kwa sababu umenidhihaki; laiti ningekuwa na upanga mkononi mwangu ningekuua sasa hivi.
Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini zaidi sana mpate kutoa unabii, maana yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko yeye anenaye kwa lugha, isipokuwa afasiri, ili kusudi kanisa lipate kujengwa.
Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.