Mwanzo 30:19 - Swahili Revised Union Version Lea akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa sita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lea akapata mimba tena na kumzalia Yakobo mtoto wa sita wa kiume. Biblia Habari Njema - BHND Lea akapata mimba tena na kumzalia Yakobo mtoto wa sita wa kiume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lea akapata mimba tena na kumzalia Yakobo mtoto wa sita wa kiume. Neno: Bibilia Takatifu Lea akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa sita. Neno: Maandiko Matakatifu Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita. BIBLIA KISWAHILI Lea akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa sita. |
Lea akasema, Mungu amenipa ujira wangu, kwa sababu nimempa mume wangu mjakazi wangu. Akamwita jina lake Isakari.
Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
Na mpakani mwa Isakari, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Zabuloni, fungu moja.
Na wana wa Zabuloni kwa jamaa zao; wa Seredi, jamaa ya Waseredi; wa Eloni, jamaa ya Waeloni; wa Yaleeli, jamaa ya Wayaleeli.