Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Mwanzo 27:26 - Swahili Revised Union Version Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Biblia Habari Njema - BHND Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.” BIBLIA KISWAHILI Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu. |
Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema, Tazama, harufu ya mwanangu Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.
Basi Yoabu akamwendea mfalme, akamwambia hayo, naye alipomwita Absalomu, yeye akaja kwa mfalme, akainama kifudifudi hadi chini mbele ya mfalme; naye mfalme akambusu Absalomu.