Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.
Mwanzo 25:1 - Swahili Revised Union Version Abrahamu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura. Biblia Habari Njema - BHND Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura. Neno: Bibilia Takatifu Ibrahimu alioa mke mwingine aliyeitwa Ketura. Neno: Maandiko Matakatifu Ibrahimu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura. BIBLIA KISWAHILI Abrahamu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura. |
Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.
Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.