Mwanzo 24:58 - Swahili Revised Union Version Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Biblia Habari Njema - BHND Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utaenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitaenda.” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.” BIBLIA KISWAHILI Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda. |
Mariamu akasema, Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.