Mwanzo 24:39 - Swahili Revised Union Version Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Biblia Habari Njema - BHND Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’ Neno: Bibilia Takatifu “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’ Neno: Maandiko Matakatifu “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’ BIBLIA KISWAHILI Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami. |
Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?