Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 11:24 - Swahili Revised Union Version Nahori akaishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera. Biblia Habari Njema - BHND Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nahori alipokuwa na umri wa miaka 29, alimzaa Tera. Neno: Bibilia Takatifu Nahori alipokuwa ameishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. Neno: Maandiko Matakatifu Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. BIBLIA KISWAHILI Nahori akaishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. |
Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia moja na kumi na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu moja, visu ishirini na tisa;
Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng'ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.