Mwanzo 10:3 - Swahili Revised Union Version Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Biblia Habari Njema - BHND Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama. Neno: Bibilia Takatifu Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. Neno: Maandiko Matakatifu Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama. |
Itwekeni bendera katika nchi, pigeni tarumbeta kati ya mataifa, yawekeni mataifa tayari juu yake; ziiteni juu yake falme za Ararati, na Mini, na Ashkenazi; agizeni jemadari juu yake; wapandisheni farasi, kama tunutu.
Watu wa nyumba ya Togarma walifanya biashara, kwa farasi, naam, farasi wa vita, na nyumbu, wapate vitu vyako vilivyouzwa.
Gomeri, na vikosi vyake vyote; nyumba ya Togarma, pande za mwisho za kaskazini, na vikosi vyake vyote; naam, watu wengi pamoja nawe.