Methali 31:12 - Swahili Revised Union Version Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Biblia Habari Njema - BHND Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Neno: Bibilia Takatifu Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. Neno: Maandiko Matakatifu Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. BIBLIA KISWAHILI Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. |