Methali 30:28 - Swahili Revised Union Version Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Biblia Habari Njema - BHND mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mjusi: waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu. Neno: Bibilia Takatifu Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya wafalme. Neno: Maandiko Matakatifu Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. BIBLIA KISWAHILI Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. |
Miongoni mwa viumbe watambaao juu ya nchi, hawa ni najisi kwenu; kicheche, panya na mjombakaka kwa aina zake,