Mathayo 7:9 - Swahili Revised Union Version Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Biblia Habari Njema - BHND Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Neno: Bibilia Takatifu “Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe? Neno: Maandiko Matakatifu “Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe? BIBLIA KISWAHILI Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? |