Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu zawadi njema, je! Si Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema zaidi wao wamwombao?
Mathayo 7:10 - Swahili Revised Union Version Au akiomba samaki, atampa nyoka? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Biblia Habari Njema - BHND Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Neno: Bibilia Takatifu Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka? Neno: Maandiko Matakatifu Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka? BIBLIA KISWAHILI Au akiomba samaki, atampa nyoka? |
Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu zawadi njema, je! Si Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema zaidi wao wamwombao?
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Lakini nahofu; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.