Basi Bathsheba akaingia kwa mfalme Sulemani, aseme naye kwa ajili ya Adonia. Naye mfalme akainuka kwenda kumlaki, akamwinamia, akaketi katika kiti chake cha enzi; kisha akaagiza awekewe kiti cha enzi mamaye mfalme; naye akaketi mkono wake wa kulia.
Mathayo 25:33 - Swahili Revised Union Version atawaweka kondoo katika mkono wake wa kulia, na mbuzi mkono wake wa kushoto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto. Biblia Habari Njema - BHND Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto. Neno: Bibilia Takatifu Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto. Neno: Maandiko Matakatifu Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto. BIBLIA KISWAHILI atawaweka kondoo katika mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto. |
Basi Bathsheba akaingia kwa mfalme Sulemani, aseme naye kwa ajili ya Adonia. Naye mfalme akainuka kwenda kumlaki, akamwinamia, akaketi katika kiti chake cha enzi; kisha akaagiza awekewe kiti cha enzi mamaye mfalme; naye akaketi mkono wake wa kulia.
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Katika mkono wako wa kulia amesimama malkia Akiwa amevaa dhahabu safi ya Ofiri.
Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi hadi kizazi.
Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kulia; Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.
Basi Bwana Yesu, baada ya kusema nao, akachukuliwa juu mbinguni, akaketi mkono wa kulia wa Mungu.
aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka katika mkono wake wa kulia katika ulimwengu wa roho;
Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wa Mungu na chapa kamili ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi katika mkono wa kulia wa Ukuu huko juu;