Mathayo 24:50 - Swahili Revised Union Version bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyojua, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Biblia Habari Njema - BHND bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Neno: Bibilia Takatifu Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. Neno: Maandiko Matakatifu Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. BIBLIA KISWAHILI bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyojua, |
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wasioamini.
Basi kumbuka jinsi ulivyopokea, na jinsi ulivyosikia; yashike hayo na kutubu. Lakini usipokesha, nitakuja kama mwizi, wala hutaijua saa nitakayokuja kwako.