Mathayo 24:23 - Swahili Revised Union Version Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. Biblia Habari Njema - BHND “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo kama mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ Au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki. BIBLIA KISWAHILI Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. |
Akasema, Angalieni, msije mkadanganyika, kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye; tena, Majira yamekaribia. Basi msiwafuate hao.
Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.
Lakini yule ofisa akawasikiliza nahodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paulo.