Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho.
Mathayo 24:18 - Swahili Revised Union Version wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. Biblia Habari Njema - BHND Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. Neno: Bibilia Takatifu Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. Neno: Maandiko Matakatifu Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. BIBLIA KISWAHILI wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. |
Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho.
Katika siku ile, aliye juu ya dari, na mali yake imo ndani ya nyumba, asishuke ili kuitwaa; na kadhalika, aliye shambani asirejee nyuma.