Mathayo 24:16 - Swahili Revised Union Version ndipo walio katika Yudea na wakimbilie milimani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani. Biblia Habari Njema - BHND hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani. Neno: Bibilia Takatifu basi wale walio Yudea wakimbilie milimani. Neno: Maandiko Matakatifu basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani. BIBLIA KISWAHILI ndipo walio katika Yudea na wakimbilie milimani; |
Na hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu, asema BWANA, kwamba mimi nitawaadhibu ninyi mahali hapa, mpate kujua ya kuwa maneno yangu yatasimama juu yenu, kuwaletea mabaya bila shaka;
Kimbieni mpate kuwa salama, enyi wana wa Benyamini; tokeni katika Yerusalemu, pigeni tarumbeta katika Tekoa, simamisheni ishara juu ya Beth-hakeremu; kwa maana mabaya yanachungulia toka kaskazini, na uharibifu mkuu.
Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, majusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuiokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.