Mathayo 24:12 - Swahili Revised Union Version Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapunguka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Biblia Habari Njema - BHND Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu, upendo wa watu wengi utapoa, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa, BIBLIA KISWAHILI Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapungua. |
Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, na kupokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji la uzima.
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.