Mathayo 20:29 - Swahili Revised Union Version Walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata. Neno: Bibilia Takatifu Isa na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu wakamfuata. Neno: Maandiko Matakatifu Isa na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata. BIBLIA KISWAHILI Walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata. |