Mathayo 2:10 - Swahili Revised Union Version Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno. Biblia Habari Njema - BHND Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno. Neno: Bibilia Takatifu Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno. Neno: Maandiko Matakatifu Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno. BIBLIA KISWAHILI Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno. |
Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu, uvumba na manemane.
Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, mpaka iliposimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;
Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa.
Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;