Aliposema haya wakatahayari wote walioshindana naye; mkutano wote wakafurahi kwa sababu ya mambo matukufu yaliyotendwa na yeye.
Matendo 3:9 - Swahili Revised Union Version Watu wote wakamwona akienda, akimsifu Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote waliokuwa hapo walimwona akitembea na kumsifu Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote waliokuwa hapo walimwona akitembea na kumsifu Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote waliokuwa hapo walimwona akitembea na kumsifu Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Watu wote walipomwona akitembea na kumsifu Mungu, Neno: Maandiko Matakatifu Watu wote walipomwona akitembea na kumsifu Mungu, BIBLIA KISWAHILI Watu wote wakamwona akienda, akimsifu Mungu. |
Aliposema haya wakatahayari wote walioshindana naye; mkutano wote wakafurahi kwa sababu ya mambo matukufu yaliyotendwa na yeye.
Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa lugha ya Kilikaonia, Miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu.
wakisema, Tuwafanyie nini watu hawa? Maana ni dhahiri kwa watu wote wakaao Yerusalemu ya kwamba ishara mashuhuri imefanywa nao, wala hatuwezi kuikana.
Nao walipokwisha kuwatisha tena wakawafungua, wasione njia ya kuwaadhibu, kwa sababu ya watu; kwa kuwa watu wote walikuwa wakimtukuza Mungu kwa hayo yaliyotendeka;