Matendo 19:41 - Swahili Revised Union Version Alipokwisha kusema haya akauvunja mkutano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusema hayo, aliuvunja mkutano. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusema hayo, aliuvunja mkutano. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusema hayo, aliuvunja mkutano. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kusema haya akavunja mkutano. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kusema haya akavunja mkutano. BIBLIA KISWAHILI Alipokwisha kusema haya akauvunja mkutano. |
Maneno ya wenye hekima yanenwayo taratibu husikiwa, Zaidi ya mlio wake atawalaye katikati ya wapumbavu.
Kwa maana tuna hatari ya kushitakiwa kwa ajili ya ghasia hizi za leo, ambazo hazina sababu; maana hakuna sababu tunayoweza kutoa kama chanzo cha ghasia hizi.
Ghasia ile ilipokoma, Paulo akatuma kuwaita wanafunzi akawaonya, akaagana nao, kisha akaondoka aende zake mpaka Makedonia.